mafunzo ya watu wazima leo 1 January 31, 2021 LESONI, FEBRUARI 1 SOMO: MJI MKUU ULIOPITA WA BABELI (ISA. 13:2—22) Mwaka 626 K.K. Nabopolasa Mkaldayo aliirudishia Babeli utuku...Read More
amka na Bwana leo 1 January 31, 2021 KESHA LA ASUBUHI JUMATATU, FEBRUARI, 1, 2021 SOMO: ANACHOKITARAJIA MUNGU Mungu huwapinga wajikuzao, bali huwapa neema wanyekevu....Read More
SERIKALI HAITAFUNGIA WATU NDANI January 31, 2021 SERIKALI: UKIONA HUTAKI KUTOKA NJE JIFUNGIE MWENYEWE, SERIKALI HAITAFUNGIA WATU NDANI Tanzania haitafungiwa ndani shughuli ziend...Read More
umejifunza nini? January 31, 2021 Kibilio lako katika shida na mawazo ni nani? Je ni bia,kujiua au Mungu wako? Fanya chaguzi sahihi?Read More
BAVICHA WAJIPANGA KUWAZIKA MDEE NA WENZAKE January 31, 2021 Bawacha wajipanga ‘kuwazika’ Mdee na wenzake BARAZA la Wanawake la Chama cha Demokrasia na Maendeleo (BAWACHA), linapanga mkakat...Read More
JPM; HAKUNA CHAKULA CHA BURE January 31, 2021 HAKUNA CHAKULA CHA BURE. “Sitatoa chakula kwenye Wilaya yoyote, hakuna chakula cha bure kama mlivyozoea huko nyuma, Mimi usipofa...Read More
JPM; MAMA ELIZABETH SARALI ARUDISHIWE UMILIKI WAKE January 31, 2021 ''Nimeambiwa bibi Elizabeth Sarali mwenye miaka 90 amepokonywa eneo lake kisha akamilikishwa mfanyakazi wa idara ya ardh...Read More
JPM; TUIJENGE TABORA KWA UMOJA TUACHE MAJUNGU January 31, 2021 “Tuijenge Tabora kwa kuwa na umoja, tatizo moja ninaloliona hapa Tabora ni majungu, ukigeuka huku kuna jungu, huku unakutana na ...Read More
GSM AANZA KIBABE, ATAMKA KUWASHUSHA MAMELOD SUNDOWNS DAR January 31, 2021 GSM - KUWASHUSHA MAMELOD DAR🔥 Mabosi wa Yanga, ambao ni wadhamini wa timu hiyo, Kampuni ya GSM wako katika mazungumzo ya mwisho...Read More
JPM; WALIOKIMBIA HOSPITALI ZA SERIKALI WALIPE GHARAMA WALIZOSOMESHEWA January 31, 2021 Rais: Waliokimbia hospitali za serikali warudishe gharama walizosomeshewa Rais Magufuli amewaagiza viongozi wa wizara ya afya k...Read More
unabii sehemu ya 8,kunene kinyume aliyejuu(Mungu) January 30, 2021 PEMBE NDOGO ILINENA MANENO KINYUME CHAKE ALIYE JUU.(Aliye Juu ni MUNGU) UNABII:sehemu ya nane. Maranatha! Naamini ndugu msomaji ...Read More
mafunzo ya watu wazima leo 31 January 30, 2021 LESONI, JANUARI 31 SOMO: HUKUMU DHIDI YA MATAIFA (ISAYA 13) Isaya 13:1 inamtaja Isaya kuwa ndiye mwandishi (linganisha na Isa. 1...Read More
amka na Bwana leo 31 January 30, 2021 KESHA LA ASUBUHI Jumapili 31/01/2021 *MUNGU ATAFANYA KAZI PAMOJA NAWE.* *Kwa maana nimemjua ya kwamba atawaamuru wanawe, na nyum...Read More
ALBERT CHALAMILA AUNDA TUME NDOGO January 30, 2021 MKUU WA MKOA MBEYA AUNDA TUME KUFWATIA KIFO CHA DEREVA. MKUU wa Mkoa wa Mbeya, Albert Chalamila ameunda tume ndogo ya watu wanne...Read More
NANCY PELOSI; WABUNGE WA TRUMP WANAINGIA BUNGENI NA BASTOLA January 30, 2021 WABUNGE WA TRUMP WANAINGIA BUNGENI NA BASTOLA Spika wa Bunge la Marekani Nancy Pelosi ameomba Serikali kuwaongezea ulinzi zaidi ...Read More
JPM; TABORA NDO KILA KITU January 30, 2021 "Tabora kuna kila kitu, Tabora ni safi, historia ya Tabora ni nzuri, hata ukitaka wanawake wazuri wako Tabora, ukitaka wana...Read More
AZAM FC 3 - 1 KMC FC January 30, 2021 FULLTIME Azam FC 3-1 KMC FC ⚽⚽Prince Dube ⚽Mudathir Yahya MechiYaKirafiki AzamFC KMCFC #BinagoUPDATESRead More
DIWANI WA CCM AFARIKI DUNIA January 30, 2021 INASIKITISHA, DIWANI WA CCM AFARIKI DUNIA Chama cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Geita kimepata pigo baada ya diwani wa viti maalum...Read More
unabii sehemu ya 7,kubadilisha majira na sheria January 30, 2021 PEMBE NDOGO(UPAPA) ILIBADILI MAJIRA NA SHERIA. UNABII:sehemu ya saba. Danieli 7:25 👉🏻Naye ataazimu kubadili majira na sheria. ...Read More
mafunzo ya watu wazima leo 30 mchana January 30, 2021 LESONI, JANUARI 30 SOMO: KUJIFANYA MUNGU SABATO MCHANA Somo la Juma Hili: Isaya 13, Isa. 13:2—22, Isaya 14, Isaya 24—27. Fungu l...Read More
NYUNGU KAMA KAWAIDA, KUANZIA JUMATATU January 30, 2021 KAMPENI YA KUPIGA NYUNGU KUPAMBANA NA CORONA KUANZA JUMATATU "Rais [Magufuli] naomba nikwambie, Jumatatu tunaanza kampeni n...Read More
amka na Bwana leo 30 January 29, 2021 KESHA LA ASUBUHI Jumamosi 30/01/2021 *TATIZO LAKO LINA UFUMBUZI* *Lakini mtu huyu ndiye nitakayemwangalia, mtu aliye mnyonge, mw...Read More
MUUNGANIKO WA SAIDO NA FISTON UNAWEZA KUIFANYA YANGA KUWA IMARA ZAIDI January 29, 2021 Kaze Aanza na Pacha ya Fiston na Saido KOCHA Mkuu wa Yanga, Mrundi Cedric Kaze ameweka wazi kuwa kwa sasa kitu ambacho anakifany...Read More
AJIRA NI CHACHE January 29, 2021 "Ajira ni Chache, muhimu tujiajiri wenyewe maana ajira sio Tu ya kushika kalamu ofisini bali shughuli unayofanya kujiingizi...Read More
sabato njema kwako January 29, 2021 Nalifurahia waliponiambia twende nyumban kwa Bwana...🙏 Ubarikiwe tena na zaidi katika ibada ya leo ya tarehe 30,Amen 😇🙏Read More
NCHINI UINGEREZA YAANZA RASMI KUZUIA RAIA WA NCHI MBALIMBALI KUINGIA NCHINI HUMO January 29, 2021 Kutokana na ugonjwa wa Corona kurejea tena kwa nguvu katika mataifa mbalimbali duniani. Nchi ya uingereza imeanza kuzuia baadhi ...Read More
CEO BARBARA AFUNGUKA WAZO LA SIMBA SUPER CUP LILIPOANZIA January 29, 2021 CEO AFUNGUKA WAZO LA SIMBA SUPER CUP LILIPOANZIA Tulipokuwa Zimbabwe mwezi wa December tulikuwa tunaongea na baadhi ya wajumbe, ...Read More
ENG. HERSI SAIDI AZIDI KUPIGA SPANA ✍ January 29, 2021 CHUKUA HII KUTOKA KWA ENG. HERSI LEO 29th Jan 2021 ANAANDIKA ENG. HERSI "1. PROPER MANAGEMENT - DONE 2. GREAT TECHNICAL ...Read More
BABU TALE; NAKUMBUKA MKE WANGU AKIWA MUHIMBILI ALIKUWA HALI MBAYA SANA, ALINIAMBIA MIMI NAONDOKA LAKINI NISIOE January 29, 2021 "Mke wangu aliniambia nisioe, nakumbuka hiyo siku nimeshinda naye Muhimbili. Akaniambia nimechoka kuishi hii hali, akanishi...Read More
WHO YAWAGEUKIA TANZANIA, YAITAKA IANDAE KAMPENI YA CHANJO YA COVID19 January 29, 2021 WHO YAIGEUKIA TANZANIA,YAITAKA IANDAE KAMPENI YA CHANJO YA COVID19 Mkuu wa Shirika la Afya Duniani (WHO) Kanda ya Afrika Dkt. Ma...Read More
WHO YAITAKA TANZANIA IPOKEE CHANJO YA CORONA January 29, 2021 WHO YAITAKA TANZANIA KUPOKEA CHANJO YA CORONA IKIWa ni siku moja tu tangu Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Mag...Read More
GOMES DA ROSA; WACHEZAJI WAACHE MBWEMBWE January 29, 2021 GOMES: NILIWAAMBIA WACHEZAJI WAACHE MBWEMBWE "Wakati wa mapumziko niliwaambia mpira wa miguu sio maonyesho, katika mpira ...Read More
NDAIRAGIJE; REFA ALITUTOA MCHEZONI January 29, 2021 ETIENNE: REFA ALITUTOA MCHEZONI MAPEMA Kocha Mkuu wa timu ya Taifa ya Tanzania Taifa Stars Etienne Ndairagije ameongea na Waan...Read More
CLORIS LEACHMAN January 29, 2021 Mwigizaji mkongwe wa filamu za vichekesho wa nchini Marekani, Cloris Leachman amefariki Dunia akiwa na umri wa miaka 94. Bi. Lea...Read More
unabii sehemu ya 6,Pembe ndogo yafanya vita na watakatifu January 28, 2021 PEMBE NDOGO ILIFANYA VITA NA WATAKATIFU. UNABII:sehemu ya sita. Danieli 7:21 👉🏻nikatazama na pembe iyo hiyo ilifan...Read More
machapisho ya kishetani January 28, 2021 _MACHAPISHO YA KISHETANI NDANI YA NYUMBA ZA UCHAPAJI ZA SDA. MANUSCRIPT RELEASE . 1273 - Machapisho ya Kishetani katika Nyumba z...Read More
mafunzo ya watu wazima leo 29 January 28, 2021 LESONI, JANUARI 29 JIFUNZE ZAIDI: “Moyo wa baba wa kibinadamu humwonea sana shauku mwanawe. Hutazama katika uso wa mwanawe mdogo...Read More
amka na Bwana January 28, 2021 KESHA LA ASUBUHI Ijumaa 29/01/2021 *PUMZIKO LA MKRISTO* *Jitieni nira yangu, mjifunze kwangu; kwa kuwa mimi ni mpole na mnyenyek...Read More