NCHINI UINGEREZA YAANZA RASMI KUZUIA RAIA WA NCHI MBALIMBALI KUINGIA NCHINI HUMO
Nchi ya uingereza imeanza kuzuia baadhi ya mataifa raia wake kuingia nchini humo.Tutakumbuka wiki mbili zilizopita uingereza ilizuia abiria kutoka Tanzania na DRC Congo kuingia nchini humo.
Lakini leo hii imetoka tena orodha nyingine ya nchi ambazo raia wake hawaruhusiwi kuingia uingereza ni pamoja na Rwanda,Burundi na Dubai.
Hatua hizi uingereza wanachukua kutokana na kuibuka kwa kirusi kipya cha Corona chenye nguvu zaidi kuliko kile cha awali.
#BinagoUPDATES
Post a Comment