HII NDIO MISINGI YA KANISA LA WASABATO DUNIANI
KANISA LA #SDA LINA MISINGI 28 AMBAYO NI
1.Neno la Mungu
2.Utatu mtakatifu
3.Mungu baba
4.Mungu mwana
5.Roho mtakatifu
6.Uumbaji
7.Asili ya mwanadamu
8.Pambano kuu
9.Maisha,kifo na ufufuo wa yesu
10.Kupata wokovu
11.Kukua katika kristo
12.Kanisa
13.Masalio na utume wake
14.Umoja katika kristo
15.Ubatizo
16.Meza ya bwana
17.Karama ya roho na huduma
18.Karama ya unabii
19.Sheria ya mungu
20.Sabato
21.Uwakili
22.Mwenendo wa mkristo
23.Ndoa na familia
24.Huduma ya kristo patakatifu pa mbinguni
25.Ujio wa kristoMara ya pili
26.kifo na ufufuo
27.Mileniani na mwisho wa dhambi
28.Nchi mpya
NAYO IMENGAWANYIKA KATIKA MAFUNDISHO 6
Ambayo ni
1.Mungu 1-5
2.Mwanadamu 6-7
3.Wokovu 8-11
4.Kanisa 12-20
5.Maisha ya kristo 21-23
6.Maisha ya siku za mwisho 24-25
**********
Mnafanya vyema but naomba Kesha la asubuhi pdf
ReplyDeleteKanisa la wasabato halina misingi 28 bali lina Imani 28 na msingi mmoja (Yesu Kristo)
ReplyDelete