MANARA ASEMA NIA YAKUWAALIKA TP MAZEMBE SUPER CUP NI KUTAFUTA TASTE

MANARA KUHUSU KUWALETA ZAMALEK KWENYE SUPER CUP

Sababu ya kuwaalika TP Mazembe kwenye Super Cup ni kutafuta taste yaani radha ya soka la Congo", si unafahamu tunakutana AS VITA CLUB

Na niwaibie siri walitakiwa waje Zamalek hapa kama ligi yao nchini Misri ingekua imesimama ila wakati mwingine wanaweza kuja hapa, SIMBA ni level nyingine kwa hivi sasa."

Haji Sunday Manara. ✍️
#BinagoUPDATES

No comments