YANGA YATAMBULISHA KOCHA MSAIDIZI
OFFICIAL: Klabu ya Yanga imemtambulisha rasmi kocha msaidizi Niza Khalfan.
BENCHI LA UFUNDI LA YANGA LINASOMEKA HIVI
✔Kocha Mkuu
Cedric Kaze
✔Kocha Msaidizi
Nizar Khalfan
✔Kocha wa Viungo
Edem Mortotsi
#BinagoUPDATES
Post a Comment