Amefunga zaidi ya mabao 500 kwenye klabu na timu yake ya Taifa. ⚽Ameshinda Kiatu cha Dhahabu enzi za Lionel Messi na Cristiano Ronaldo wapo Moto 🔥Mfungaji wa muda wote wa Uruguay.🇺🇾Kheri ya Siku ya Kuzaliwa ya 35, Luis Suarez!
Post a Comment