KUHUSU KESI YA CEO WA SIMBA SC BABRA
𝐂𝐇𝐔𝐊𝐔𝐀 𝐇𝐈𝐈 𝐓𝐎𝐊𝐀 𝐊𝐖𝐀 𝐁𝐀𝐑𝐁𝐀𝐑𝐀 𝐆𝐎𝐍𝐙𝐀𝐋𝐄𝐙
➪"Ni kweli nilikamatwa nikakaa kutwa nzima kwenye kituo cha polisi siku ya Alhamisi mpaka nikashindwa kwenda Manungu katika mechi yetu dhidi ya Mtibwasugar"
➪"Naona dada afisa wa (TFF) 'Jackline Kamwamu' kama hajafurahishwa, lakini mimi sijatoa lugha chafu dhidi yake"
➪"Ila nimekwazika na nitaendelea kuwapa ushirikiano Polisi. Dada amefanikiwa katika hili lakini haki zetu zitendeke uwanjani"
➪"Hii vita ni kubwa mno sio ndogo tutaendelea kupambana na siko mwenyewe katika hili,, Vita hii sio ya uwanjani tu ni Vita hadi nje ya uwanja"
Inadaiwa kosa kubwa la Babra ni kutumia neno "This is None sense" kesi bado haijaamuliwa mpaka sasa. Endelea kufuatilia page yetu ili kujua kila kitu kinachoendelea, pia usisahau kushare post hii katika Magroup 10 ili iwafikie wahusika.
Post a Comment