Breaking: Wachezaji wote wa Pyramids kupewa Adhabu 🔥


 Baada ya pyramids kutoa draw ya 1-1 dhidi ya Pharco usiku Wa Jana , basi uongozi Wa Timu hiyo umesema utachukua maamuzi magumu🚨.


Wachezaji wote watapunguziwa mshahara kwa asilimia 70%.


 Wachezaji wote muhimu katika Timu watapewa adhabu ya kukaa bench na Wachezaji kutokea kwenye academy watapewa nafasi ya kucheza. 


🔥 Lakini pia onyo Kali litapewa kwa baadhi ya Wachezaji wanaolipwa mshahara mkubwa na awana msaada wowote kwenye Timu, kuwa watawekwa sokoni. Ili kupisha nafasi ya wachezaji wengine kusajiliwa.



Toa maoni yako #binagoupdates #pyramids

No comments