Fei toto kuenda Simba mambo ni 🔥
- Klabu ya Simba itaanza mazungumzo rasmi na klabu ya Azam ili kupata saini ya kiungo wa kimataifa wa Tanzania, Feisal Salum ambaye amekuwa na msimu bora sana akiwatumikia Matajiri wa Chamazi.
- Inatajwa Feisal Salum atakuwa mbadala wa Saido Ntibazonkiza ikiwa watainasa saini ya Kiungo huyo Fundi katika dirisha lijalo la uhamisho, kiu iliyopo kwa Wekundu wa Msimbazi ni kuinasa saini ya Zanzibar Finest.
- Simba itaanza mchakato huo mwishoni mwa msimu huu, they will try to find Feisal signature and service at the end of this season.
Post a Comment