GOMES DA ROSA; WACHEZAJI WAACHE MBWEMBWE

GOMES: NILIWAAMBIA WACHEZAJI WAACHE MBWEMBWE
 
"Wakati wa mapumziko niliwaambia mpira wa miguu sio maonyesho, katika mpira wa miguu unahitaji kufanya vitu kwa ufasaha. Nadhani tunahitaji kupiga pasi ya mwisho au krosi kabla ya kuingia kwenye boksi.

"Hatuna haja ya kucheza pasi 40 au 30 ili kutengeneza nafasi ya kufunga."

Didier Gomes Da Rosa.
#BinagoUPDATES

No comments