NDAIRAGIJE; REFA ALITUTOA MCHEZONI

ETIENNE: REFA ALITUTOA MCHEZONI MAPEMA
 
Kocha Mkuu wa timu ya Taifa ya Tanzania Taifa Stars Etienne Ndairagije ameongea na Waandishi wa habari baada ya sare ya 2-2 ya Tanzania dhidi ya Guinea katika michuano ya CHAN 2020, Ndairagije ameeleza sababu anazoamini zimepelekea Tanzania kutofanya vizuri ukitolea maandalizi hafifu lakini refa wa mchezo huo hakufanya fair kiasi kwamba alijaribu kuwatoa mchezoni wachezaji ikiwemo penati.
#BinagoUPDATES

No comments