ENG. HERSI SAIDI AZIDI KUPIGA SPANA ✍

CHUKUA HII KUTOKA KWA ENG. HERSI
 
LEO 29th Jan 2021 ANAANDIKA ENG. HERSI

"1. PROPER MANAGEMENT - DONE 
2. GREAT TECHNICAL DEPARTMENT - DONE
3. TOP CLASS PLAYERS - DONE

MAFANIKIO; 

1. Kubeba ubingwa wa MAPINDUZI CUP 2021
2. Kuongoza ligi katika mzunguko wa kwanza. 
3. Kutokupoteza mchezo wowote katika msimu wa 2020/21

Mola ametenda mema kwetu na tutaendelea kumuomba huku jitihada kubwa za kuendelea  kuijenga timu yetu zikifanyika. 
Ujenzi wa timu yetu umekuwa wenye kuzingatia weledi na ufanisi huku tukitaraji mazuri zaidi tuelekeapo kwenye mfumo wa mabadiliko ( TRANSFORMATION )

Sasa wananchi shabaha na malengo yetu ni moja tu, UBINGWA wa VPL 2020/21 

Twende pamoja katika safari hii ya mafanikio. 

USISAHAU FISTON ABDUL RAZAQ NI MWANANCHI @fistonabdoulrazaq"
#BinagoUPDATES

No comments