SISI KAMA WIZARA JUKUMU LETU KUBWA NIKUSIMAMIA NIDHAMU, TUTAWASAIDIA WASAFI TV

"Kama Wizara jukumu letu la kwanza ni kusimamia nidhamu, inapotokea chombo chochote cha habari au msanii  kufungiwa inakuwa wamefikia hatua ambayo hata mimi kama mzazi nimefikia mwisho  ndio maana hata lilipotokea la juzi (WasafiTV) tumekaa kujadili tunawasaidia vipi" -Waziri wa habari,utamaduni sanaa na Michezo Mh Innocent Bushungwa

"Kama Watanzania walivyoona Taifa Stars wanazidi ku-improve kwenye kila mchezo, jana tumepata sare lakini umeona kiwango cha Stars kimekuwa ni cha kimataifa! Kama Serikali tumedhamiria kuzipa nguvu timu zetu za taifa na kuwekeza ili timu zetu zifanye vizuri" - @innobash 

"Rais wetu maisha yake amejitoa kwa ajili ya Watanzania, sijui huwa analala saa ngapi, kupokea simu ya JPM saa 9 -11 alfajiri ni kawaida. Sisi vijana tunajifunza mengi, ni msikilizaji sana, kama una hoja nzuri una uwezo wa kumshawishi na ukimshawishi anakupongeza"- @innobas
#BinagoUPDATES

No comments