Tulikuwa na wazo la kuiandikia barua Yanga kushiriki Super Cup, lakini tulifikiria mara mbili kama wanaweza kutujibu na kushiriki kwa wakati huu, ama wataelewa vinginevyo" Barbara Gonzalez, Ofisa Mtendaji Mkuu wa Simba akielezea kuhusu ushiriki wa Yanga katika mashindano hayo.
#BinagoUPDATES
Post a Comment