WHO YAWAGEUKIA TANZANIA, YAITAKA IANDAE KAMPENI YA CHANJO YA COVID19

WHO YAIGEUKIA TANZANIA,YAITAKA IANDAE KAMPENI YA CHANJO YA COVID19

Mkuu wa Shirika la Afya Duniani (WHO) Kanda ya Afrika Dkt. Matshdiso Moeti amesema, Tanzania iandae kampeni ya Chanjo ya Virus vya Corona kwa faida ya Wananchi na Kanda ya Afrika Mashariki kwa ujumla

Amesema, wataikumbusha Serikali kuwa hii ni sehemu ya Makubaliano ya Kanuni za Afya za Kimataifa ambapo Nchi Wanachama wamekubali kwa pamoja kuzuia kusambaa kwa magonjwa

Aidha, WHO imesisitiza Tanzania kutoa takwimu za mwenendo wa CoronaVirus ili iwe rahisi katika kupambana na kuzuia maambukizi mapya

WHO inasema kuwa, imekua ikiwasiliana na Serikali ya Tanzania tangu mwanzo wa janga hili la Corona
#BinagoUPDATES

2 comments: