Neno la muhimu"Nguvu juu ya Ardhi"Miliki leo June 30, 2019 Yesu kristo alishatukomboa katika yote, pale unamwamini Yesu moyoni mwako na kumkiri kua ni Bwana na mwokozi wa maisha yako sawasawa na W...Read More
Moshi, wananchi wachoma kanisa June 28, 2019 Moshi Wanawake waliojawa na jazba wamechoma moto kanisa la Unyakuo lililopo kata ya Msaranga manispaa ya Moshi mkoani Kilimanjaro ...Read More
Mchungaji atoa mahubiri kuelekea Uchaguzi wa serikali za mitaa huko Iringa June 27, 2019 Mbunge wa Iringa Mjini Mchungaji Peter Msigwa akizungumza na wananchi wa Iringa katika mkutano wa hadhara uliofanyika Jana katika kata ya...Read More
Wasanii maarufu ambao wazazi wao ni wachungaji Kenya June 26, 2019 Ni vigumu kutafakari kuwa baadhi ya wasanii wa injili na wa kidunia wa Kenya wana wazazi ambao ni wachungaji. Ifuatayo ni orodha ya wasa...Read More
Nabii Mboro wa Afrika kusini adai kumuua shetani June 25, 2019 MHUBIRI mtatanishi kutoka Afrika Kusini Paseka Motsoeneng ambaye anajulikana sana kama Nabii Mboro ameibuka na madai mapya na ya kutoamin...Read More
Kanisa la ACK Kenya limekubaliana na ndoa za Jinsia Moja June 25, 2019 Kanisa la ACK, limetangaza kuwa alitaidhinisha ndoa za watu wa jinsia moja ila limesema kwamba halitawazuia kushirikia kwenye makanisa ...Read More
Hii kali:Askofu Ng'ang'a amtishia kumuua mwandishi wa habari June 25, 2019 Iwapo unataka maombi ya dharura kutoka kwa muhubiri Askofu James Ng’ang’a, itakubidi sasa utembee guu mosi guu pili hadi kanisani mwake u...Read More
Bilionea ajuta kumsahau Mungu wakati wa uhai wake June 25, 2019 Richard Teo Keng Siang alisema alijutia sana maisha yake ambapo aliishi akikimbizana na kutengeneza mamilioni na kusahau kumfuata Mwenyez...Read More
Mchungaji Deya achepuka na kudai ni sababu ya Ugonjwa June 24, 2019 Mchungaji mwenye utata Gilbert Deya ambaye anaishi nchini Uingereza amefichua kuhusu maisha yake ya ndoa ambayo kwa sasa yamekumbwa na m...Read More
Masanja Mkandamizaji atoa ushauri kwa vijana June 23, 2019 Mchekeshaji na Mchungaji Emanuel Mgaya maarufu kama Masanja Mkandamizaji ametoa ushauri na busara zake kwa vijana wa kiume kwamba wakifik...Read More
Askofu Ng'ang'a awatusi waandishi wa habari June 23, 2019 Soma uhondo hapa: Watangazaji waa runinga nao hawakusazwa, Askofu huyu tata aliwapa dongo ya kwao. “Na hao wa television wamejipakapa...Read More
Kelele zakatazwa Makanisani na Serikali June 21, 2019 Dar es salaam : BARAZA la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) limeagiza wamiliki wote wa kumbi za starehe, baa pamoja na n...Read More
Ukristo hatarini kupotea Iraq June 21, 2019 IRBIL, IRAQ Askofu mkuu wa Irbil, mji mkuu wa jimbo la Iraq la Kurdistan, amewashutumu viongozi wa kikristo wa Uingereza kwa kushindwa ...Read More
Mchungaji ajiteka na kuwataka waumini wake wamchangie pesa hili asife June 19, 2019 'Watekaji nyara' hao walisema mchungaji angeuawa kufikia Alhamisi, Juni 13,2019 iwapo hawatapokea pesa kumkomboa. Hata hivyo, ...Read More
Askofu Wafula afungua kanisa jipya huko Mombasa June 19, 2019 Askofu Robert Wafula ambaye alikuwa akihudumu katika kanisa la Neno Evangelism tawi la Mombasa amefungua kanisa lake wiki chache tu baa...Read More
Kanisa la Katoliki duniani lakataa ushoga na ubadilishaji wa jinsia June 19, 2019 Waraka huo unaendelea kusema kuwa jinsia haiamuliwi na watu binafsi bali ni Mungu pekee, “maandiko matakatifu yamefichua busara ya Mungu ...Read More
Mapadri kuruhusiwa kuoa "Vatican " June 19, 2019 Vatican City : Makao makuu ya kanisa katoliki duniani Vatican, yamefungua rasmi mdahalo juu ya suala la kuruhusu wanaume walioowa kutu...Read More
Kanisa la EAGT lashitakiwa June 19, 2019 KANISA la Evangelistic Assemblies Of God Tanzania (EAGT), limemfungulia kesi katika baraza la ardhi mtoto wa marehemu, Mchungaji Joh...Read More
Hawa ndio wachungaji matajiri zaidi Duniani June 17, 2019 wachungaji 10 wanaotajwa kuwa na fedha nyingi zaidi duniani. 10. Joseph Prince. Dola Milioni 5 Ni Mchungaji kutoka Singapore ambaye an...Read More
"Jumapili ni siku ya kumwabudu shetani"alisema Pasta Lai June 15, 2019 Mchungaji wa kanisa la Jesus Celebration Centre (JCC) Mombasa amezua sintofahamu baada ya kudai kwamba siku ya Jumapili sio siku iliyoidh...Read More
"Kusali kwa kupayuka haifai kitu"Mzee wa upako alisema June 15, 2019 "Kusali kwa kupayuka hafai kitu, hila ni kutangaza matatizo yako kwa majirani zako iwe ni kanisani au ukiwa nyumbani, kumbuka Mungu...Read More
"Dunia sio tufe kama mpira"Umbo la dunia sehemu ya 1 June 13, 2019 Usibitisho wa kibiblia"umbo la dunia sehemu ya 1 " Watu wengi wakizaliwa ukimuuliza kabla hajapata elimu ya kijografia, atase...Read More
"Siwezi pata ajali" alisema mtume huko South Africa June 13, 2019 Msaidizi wa Mtume Talent Chiwenga, Mchungaji Marange amekataa kama ripoti za uwongo na zisizofaa za Facebook zinaonyesha kuwa mhubiri huy...Read More
"Simba wameshinda kwa kununua mechi 8"mchungaji wa Dar alisema June 11, 2019 Mchungaji Daudi Mashimo wa Kanisa la Emmaus Bible Church lililopo Mbezi Dar, amesema kuwa Simba walishinda kwa kununua mechi hizo 8, nili...Read More
Nabii Magaya afanya muujiza wa ajabu huko South Africa June 10, 2019 South Africa : Kiongozi wa Huduma za Uponyaji na Uokoaji wa Unabii Walter Magaya hivi karibuni alifanya hivyo na kuponya mtu aliyepigwa ...Read More
"Yesu harudi duniani mara ya pili "Kadinali Giorgio Salvadore alisema June 10, 2019 MSEMAJI kutoka Vatican ameshangaza kutangaza rasmi kuwa kurejea kwa Yesu Kristo mara ya pili kunaweza kukosekana baada ya kusubiriwa sana...Read More
Nandy na Willy Paul wameamua Kuchafua nyimbo za injili June 10, 2019 Katika picha ni mwanamziki wa bongo fleva Nandy wa Tanzania akiwa na mwanamziki wa gospel au injili Willy Paul wa Kenya katika collabo ...Read More
Raisi Magufuli"Mungu kawaumbua wote" June 10, 2019 RAIS John Magufuli amesema, Mungu amewaumbua watu waliodhihaki hatua ya serikali kufanya mazungumzo na Kampuni ya Bharti Airtel Internati...Read More
Rais wa Kanisa la wasabato anakata rufaa katika kesi ya adhabu ya kifo huko U.S June 09, 2019 Rais wa Kanisa la Kanisa la Waadventista wa Kanisa la Sabato la saba, Ted N.C. Wilson, ameandika barua ya kukata rufaa kwa gavana wa serik...Read More
Babu wa Loliondo atoa mpya"utabiri juu ya Nchi ya Tz" June 08, 2019 Hivi karibuni Mchungaji aliyekuwa akitoa huduma ya kikombe cha babu Ambilikile Mwaisapile wa Tarafa ya Loliondo wilayani Ngorongoro Mkoan...Read More
Tangazo: worship progress Dar es salaam June 08, 2019 gospomedia Mtumishi wa Mungu @bertha_mwakitwange anakukaribisha mahali hapa kesho kwenye Ibada ya WORSHIP FOR PROGRESS itakayofanyika ...Read More
Mchungaji James Ng'ang'a awamwagia matusi maaskofu wake June 08, 2019 Mchungaji maarufu nchini Kenya Ng’ang’a wa kanisa la Neno Evangelist Ministry amegonga vichwa vya habari kwa mara nyengine tena baada ya ...Read More
Shirika la kuzia majanga la kisabato lazidi kufanya kazi vizuri June 08, 2019 Shirika la kiadiventista wasabato ADRA :-Tanzania limezidi kufanya kile kinachotajwa na Biblia kama “dini ya kweli na safi” kwa kuwafiki...Read More
Mke wa Gwajima Grace ameamua kutoa yake kutoka moyoni juu ya mumewe June 08, 2019 Je ukweli ni upi kuhusu hii video??? Mei 8 mwaka huu Grace, mke wa Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima alizungumz...Read More