Moshi, wananchi wachoma kanisa




Moshi
Wanawake waliojawa na jazba wamechoma moto kanisa la Unyakuo lililopo kata ya Msaranga manispaa ya Moshi mkoani Kilimanjaro kwa kumtuhumu mchungaji wa Kanisa hilo, kujifanya mkunga jambo ambalo limesababisha vifo vya vichanga wawili ambao walikuwa ni mapacha.Wakiongea na kituo cha runinga cha Azam TV, Wananchi hao wamesema kuwa Mchungaji huyo alikuwa anawadanganya wanawake wajawazito kuwa wasiende Kliniki, Elimu ambayo imewapotosha watu wengi.

No comments