Mchungaji atoa mahubiri kuelekea Uchaguzi wa serikali za mitaa huko Iringa
Mbunge wa Iringa Mjini Mchungaji Peter Msigwa akizungumza na wananchi wa Iringa katika mkutano wa hadhara uliofanyika Jana katika kata ya Miyomboni Kitanzini eneo la stendi kuu
Iringa. Mbunge wa Iringa Mjini (Chadema) Mchungaji Peter Msigwa amewataka wakazi wa Iringa kuhakikisha katika uchaguzi wa serikali za mitaa Oktoba 2019 wasiruhusu mtu yeyote kuwachagulia mwenyekiti wa mtaa.Msigwa alisema hayo jana jioni Jumatano Juni 27,2019 katika mkutano wa hadhara uliofanyika eneo la stendi kuu kata ya Miyomboni Kitanzini

Post a Comment