Neno la muhimu"Nguvu juu ya Ardhi"Miliki leo
Yesu kristo alishatukomboa katika yote, pale unamwamini Yesu moyoni mwako na kumkiri kua ni Bwana na mwokozi wa maisha yako sawasawa na Warumi 10:9-10 unakua umeokolewa.
Galatia 3:13-14 imemaliza kilakitu, ukishaokoka hakuna laana sijui ya babu sijui ya ardhi sijui ya ukoo, Yesu Kristo alishafanyika laana pale msalabani kwaajili yangu, Yesu ameshanilipia yote.
Warumi 8:1-2 sasa basi hakuna hukumu ya adhabu juu yao walio katika Kristo Yesu kwasababu sheria wa Roho wa uzima ule ulio katika Kristo Yesu imeniacha huru mbali na sheria ya dhambi na mauti.
Ukishaokoka na kuishi maisha matakatifu hakuna laana ya udongo wala hukumu juu yako.

Post a Comment