Mchungaji afunga kanisa baada ya kubaka mke wa msanii

NIGERIA: Mchungaji wa kanisa la Commonwealth Of Zion Assembly, Biodun Fatoyinbo amesitisha kuendesha shughuli za kiroho katika kanisa lake, kufuatia tuhuma za kumbaka Busola Dakolo, mke wa mwanamuziki Timi Dakolo. Busola amedai mchungaji huyo alimbaka mara mbili kabla hajatimiza umri wa miaka 18.

No comments