Babu wa Loliondo atoa mpya"utabiri juu ya Nchi ya Tz"

Hivi karibuni
Mchungaji aliyekuwa akitoa huduma ya kikombe cha babu Ambilikile Mwaisapile wa Tarafa ya Loliondo wilayani Ngorongoro Mkoani Arusha amekuja kivingine na kutoa utabiri mpya.

Mchungaji Mwasapile amesema kwamba Tanzania inaenda kuwa kioo na taifa la mfano ambapo mataifa mengi kote duniani yatafika hapa nchini kujifunza mambo mbalimbali.

No comments