Tangazo: worship progress Dar es salaam

gospomedia

Mtumishi wa Mungu @bertha_mwakitwange anakukaribisha mahali hapa kesho kwenye Ibada ya WORSHIP FOR PROGRESS itakayofanyika kwenye ukumbi wa kanisa la Celebration Church (Banora Hall) hapa hapa jijini Dar es salaam.

Usipange kukosa ni kuanzia saa nane mchana mpaka saa moja usiku. Watu Wote mnakaribishwa!

Kwa maelezo zaidi na jinsi ya kufika tafadhali piga simu namba +255 765 085 155 au +255 755 685 647

No comments