Advertisement

Responsive Advertisement

RAIS SAMIA AKIKAGUA GWARIDE

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akikagua Gwaride Maalumu lililoandaliwa na Jeshi la Polisi Nchini mara tu baada ya kuwasili katika Viwanja vya Bunge jijini Dodoma, leo tarehe 22/04/2021.

Post a Comment

0 Comments