Advertisement

Responsive Advertisement

RAIS SAMIA: NAWASHUKURU SANA MARAIS WOTE WASTAAFU


“Nawashukuru sana Marais Wastaafu wote kwa kunilea, uwezo wangu wa Uongozi uliibuliwa na Rais Karume aliyenipa nafasi ya Uwaziri, malezi haya yaliendelezwa na Dr.Kikwete aliyenipa Uwaziri na baadaye Makamu Mwenyekiti wa Bunge la Katiba, nimshukuru pia Hayati Magufuli kwa kuniamini” Rais Mhe. SSH

Post a Comment

0 Comments