"Dunia sio tufe kama mpira"Umbo la dunia sehemu ya 1
Usibitisho wa kibiblia"umbo la dunia sehemu ya 1 "
Watu wengi wakizaliwa ukimuuliza kabla hajapata elimu ya kijografia, atasema dunia ni tambalale na sio tufe kama mpira, lakini elimu ya kisayansi ya jografi ndio inatudanganya wengi wetu!
Leo ni usibitisho wa kibiblia kuwa dunia sio tufe bali ni tambarale na duara kama chapati tu!
*Kwanza tuangalie sifa za dunia yetu
1.Dunia ni duara(Isaya 40:22)
2.Dunia ina misingi yake(Isaya 40:21)
3Anga la dunia lina nyota zake nyingi(Mwanzo 15:3-5,Ayubu 26:7-10)
4.Dunia ina mipaka yake ya duara au ina miisho yake ambayo imezungukwa na maji(Ayubu 26:10)
5.Dunia ina mwanga mkubwa(jua) na mwanga mdogo(mwenzi) vilivyowekwa katikati ya anga ya Dunia (Mwanzo 1:14-15)
6.Jua na Mwenzi ndio vinazunguka Dunia(Yoshua 10:12-...)
7.Dunia ni Tambarale/flat(Ufunuo 1:8)
Kwaiyo umbo la dunia kibiblia ukisoma vizuri hiyo mistari hapo juu kwenye biblia, umbo la dunia linafanania hivi. 👇
Hivyo Dunia ni tambarale na duara kama chapati, sio tufe kama mpira, huo ni usibitisho wa kibiblia, pia wa kisayansi usibitisho upo, kuwa dunia sio tufe kama wanasayansi wanavyodai, bali ni tambarale ,hiyo itakuwa "umbo la dunia sehemu ya 2" usiache kufuatilia zaidi.

Mh,aisee ni kweli kumbe,dunia sio tufe kama mpira
ReplyDeleteNdio hvyo mpendwa
Delete