"Kusali kwa kupayuka haifai kitu"Mzee wa upako alisema
"Kusali kwa kupayuka hafai kitu, hila ni kutangaza matatizo yako kwa majirani zako iwe ni kanisani au ukiwa nyumbani, kumbuka Mungu anataka maombi yako yawe ya siri, sio matangazo Mathayo 6:7-..., kwaiyo wanaofanya hivyo ni makosa bora wajirekebishe mapema, hilo ni ombi langu kwa Wakristo wote Tanzania na duniani kwa ujumla"
Hayo ni maneno ya Mzee wa Upako Lusekelo
Post a Comment