Askofu Ng'ang'a awatusi waandishi wa habari
Soma uhondo hapa:
Watangazaji waa runinga nao hawakusazwa, Askofu huyu tata aliwapa dongo ya kwao.
“Na hao wa television wamejipakapaka matope kwa uso. Kuna karoom kako hapo ka kujipaka hizo vitu.”
Mhubiri wake Wafula amefungua kanisa mpya la Shalom centre huko mjini Mombasa. Katika mitandao ya kijamii, Wafula haonekani kuwa na matatizo na bosi wake ata baada ya kuwatusi kanisani mwake.Soma hapa:
Kiongozi huyu wa kanisa hilo sasa ametokea na kusema kuwa vyombo vya habari vipo mbioni kumshusha na kumnyamazisha. Haya aliyasema katika kipindi kinachoruka kwenye runinga yake inayokwenda kwa jina Sasa TV. Askofu huyu hutumia runinga hii kutupia baadhi ya mahubiri ya kila jumapili.
“That’s why media they want to bring me down …its too late.” alifoka Askofu Ng’ang’a.
“Watangazaji wa redio ni sura mbaya. Sauti ndio wakonayo. Wakitokezea pale utakimbia. Ni kimtu kiko hivi tu ” alisema Ng’ang’a.

Post a Comment