Nandy na Willy Paul wameamua Kuchafua nyimbo za injili
Katika picha ni mwanamziki wa bongo fleva Nandy wa Tanzania akiwa na mwanamziki wa gospel au injili Willy Paul wa Kenya katika collabo ya wimbo wao wa Hallelujah!
Ambapo video na picha zinaonesha mambo ya kidunia katika nyimbo ya kidini huo ambao ni hallelujah!
*Wakenya wameapa kama watakutana na Willy Paul Mbinguni wataomba wahamishiwe motoni
*Kwa ufupi Willy Paul kafeli parefu tu,
gospel haziimbwi katika maadili hayo!
Hayo ni Maoni ya baadhi ya watu, pia unaweza kutoa yako hapo chini
Willy anaaibisha jina langu tu, haisaidii kitu kutafuta umaarufu na fedha nyingi huku unamkosea Mungu, kwa kuchafua kazi zake
ReplyDeleteNi kweli kabsaa kaka William
DeleteAu cio
ReplyDeleteNdio KDB TV, big up
DeleteToa maoni yako hapa, unakaribishwa
Delete