"Simba wameshinda kwa kununua mechi 8"mchungaji wa Dar alisema


Mchungaji Daudi Mashimo wa Kanisa la Emmaus Bible Church lililopo Mbezi Dar, amesema kuwa Simba walishinda kwa kununua mechi hizo 8, niliwatangazia na kuandaa mkesha wa wamashabiki wa Yanga hili mipango yao igome, lakini mashabiki wa Yanga hawakujitokeza,basi ndio maana simba kachukua kombe!!

Mwisho alimaliza kwa kusema kuwa yeye sio mshabiki wa timu yoyote, sema nilioneshwa tu kwenye ndoto!

@hatarisaana @Haisaidii

No comments