• HOME
  • BREAKING NEWS
  • TAMTHILIA
  • MICHEZO
  • MATANGAZO
  • CONTACT US

BINAGO BLOG

  • Home
  • injili

    Neno kutoka kwa Papa Kwa ulimwengu wote!2020

    December 31, 2019
    Kheri ya Mwaka Mpya 2020 kutoka Vatcan Read More
    injili

    Usile Nguruwe ni Najisi! Biblia inasema hivyo!

    December 31, 2019
    Hivi ndio vyakula"wanyama na ndege"najisi! Soma Mambo ya Walawi 11:1- mpaka mwisho,Kumbukumbu la Torati 14:1- Amkeni Amkeni W...Read More
    Habari

    Makanisa ya Wasabato yavamiwa uko China !

    December 31, 2019
    Makanisa kuvamiwa na Biblia kuchomwa moto uko China! Makanisa ya wasabato Read More
    today's quote
    December 30, 2019
    Read More
    Matangazo

    Kongamano!

    December 28, 2019
    Read More
    injili

    Hii ndio maana ya sikukuu ya Krismas "Xmas"

    December 26, 2019
    ASILI YA CHRISTMAS. Mwanzo 10:8 Katika kitabu cha Mwanzo 10:8 tunakuta habari za mtu mmoja maarufu kwa jina anaitwa Nimrod alikuwa mt...Read More
    injili

    je ni sawa kuzika watu kanisani kama Wakatoliki wanavyofanya?

    December 25, 2019
    Amkeni Amkeni  Wkristo duniani kote,eti unazani itakuwa ni sawa kumzika mtu hekaluni au kanisani? Usema ukweli sio sahihi, kwanini leo...Read More
    injili

    Kwanini mimi ni Msabato????!

    December 23, 2019
    Isome Biblia Upate Maarifa! Amkeni Amkeni Wakristo! Read More
    today's quote

    Maisha ya Mkristo Yapo hivi!

    December 23, 2019
    Uchanguzi unabaki kwako! Read More
    injili Matangazo

    Tangazo! Amkeni wakazi wa Nzega kumkaribia Askofu Gwajima

    December 23, 2019
    Tarehe 27/12/2019! Karibu kwaajili ya neno la Ufufuo Na Uzima!  Read More
    Matangazo

    Tangazo kwa kila mkristo

    September 16, 2019
    Usikose hii! Lazima utajirahumu ukikosa !barikiwa sana watu wa Mungu! 🙏 Read More
    Habari

    Askofu Ruwa'ichi apata nafuu

    September 16, 2019
    Askofu Ruwa’ichi alipata ugonjwa wa kiharusi Septemba 8 mkoani Kilimanjaro na alipata matibabu ya awali Hospitali ya Rufaa ya Kilimanjaro...Read More
    injili Viongozi

    Haya ndio majibu ya Nabii Olivia kwa Askofu Kakobe

    September 16, 2019
    Read More
    Habari

    Waumini wa kipalestina wajeruhiwa na jeshi la Israel katika mskiti wa Issawiya Yerusalemu

    September 13, 2019
    Vita juu ya Yerusalemu kati ya Israeli na Palestina yapamba moto! Waumini wa kipalestina wajeruhiwa na jeshi la Israel katika mskiti wa...Read More
    injili

    Usiache kuomba

    September 13, 2019
    Usiache kuomba, kwani maombi ni silaha ndg yangu katika Kristo Yesu! 🙏😇Amen!  Read More
    Mastaa

    Mwanamuziki Mkenya wa nyimbo za Injili, MCK Official, amewaacha wengi vinywa wazi baada ya kufichua kuwa ni shoga.

    September 13, 2019
    Mwimbaji huyo ambaye anasifika sana kwa wimbo wake Mpe Muda, alisema kuwa anajivunia kuhusiana na watu wa jinsia moja na yuko tayari kupi...Read More
    Habari injili

    Ijue maana ya nembo ya kanisa la waadventista wasabato

    September 13, 2019
    Ubarikiwe!  Read More
    Viongozi

    Breaking: Mchungaji wa Wake 3 Ahukumiwa Jela na Wake Zake

    September 10, 2019
    Mchungaji wa Kanisa la The Early Church of Lord Yeshwah, David Chirhuza (33), akiingia katika mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar ...Read More
    Wimbo wa Leo barikiwa

    We are the same Paul clement song ,say no to xenophobia

    September 08, 2019
    Say no to xenophobia  Read More
    Habari

    Jambazi auawa kwa kujaribu kumpora fedha Padri

    September 07, 2019
    Dar es salaam :- Mtu mmoja anayedhaniwa kuwa ni jambazi ameuawa akijaribu kumpora paroko wa Kanisa Katoliki, Parokia ya Mtakatifu There...Read More
    injili

    A Beautiful day to worship

    September 07, 2019
    Kutoka 20:8 Ikumbuke siku ya Sabato uitakase, siku sita fanya kazi, lakini siku ya sita ni ya Bwana Mungu wako!  Read More
    Mastaa Wimbo wa Leo barikiwa

    Rose Muhando walionicheka official new song

    September 06, 2019
    Read More
    Wimbo wa Leo barikiwa

    Listening to top 50 worship songs

    September 05, 2019
    Read More
    injili Viongozi

    Hatimaye Papa Francis anawasili barani Afrika

    September 05, 2019
    Read More
    Habari

    Mchungaji Mgogo azichambua wizara mbela ya Magufuli

    September 04, 2019
    Dar es Salaam. Mchungaji wa Kanisa la Baptist Tanzania, Daniel Mgogo amemwomba Rais John Magufuli kuzisimamia wizara zake ili ziweze kuf...Read More
    Habari

    Mchungaji adaiwa kutengeneza mchawi feki

    September 04, 2019
    Kushoto ni RPC Iringa, Juma Bwire na kulia ni mama anayedaiwa kuwa Mchawi, Magreth Simon. Mchungaji Jeremiah Charles mkazi wa Ilula mko...Read More
    Viongozi

    Mchungaji Chirhuza aliyeoa wake watatu, afikishwa na wake zake mahakamani

    September 04, 2019
    Read More
    Habari Viongozi

    Haya ndio maneno ya Askofu Malasusa juu ya Marehemu Balozi Kaduma

    September 04, 2019
    Dar es Salaam. Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kirutheli Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Mashariki na Pwani, Dk Alex Malasusa amesema watamue...Read More
    injili

    Nibadilishe by Goodluck Gozbert official new song

    September 03, 2019
                       Warumi 7:15-20 Read More
    injili Mastaa

    Msanii Dudu Baya Aokoka

    September 03, 2019
    Kazi ya Mungu haina makosa, yani neno la Mungu(Yesu) halikuja bure, kila alisikiaye, Hakika, ataokoka tu! Amen 🙏 Read More
    Habari injili

    Kanisani la kiadiventista wasabato lazindua chuo kikuu cha afya Rwanda

    September 03, 2019
    Rais wa Rwanda Mh,Paul Kagame akiwa sambamba na Mwenyekiti wa Kanisa la Waadventista Wasabato Ulimwenguni Pr.Teddy Wilson kwa pamoja wak...Read More
    Mastaa

    Wellu(mke wa Steve Nyerere) abadiri dini na kuwa muislam

    September 02, 2019
    Katika mahojiano maalum na Gazeti la Ijumaa Wikienda, Wellu ambaye ni mzazi mwenza wa komediani Steven Mengere ‘Steve Nyerere’ alisema am...Read More
    Viongozi

    Ujue utajiri wa Nabii Natasha

    September 02, 2019
    Nabii Natasha ndio billionaire kwa sasa, baada ya kuwa anatembea na mabodigadi na walizi wengineo Amekuwa maarufu zaidi kupitia huduma ...Read More
    injili

    Ijue dini yenye ubatizo wa kuruka moto

    September 02, 2019
    Moto unawaka katika hekalu la Zoroaster kwa zaidi ya milenia moja Miaka karibu 3,500 iliopita, Iran ilikua na dini yake iliyofahamika ka...Read More
    injili

    Neno la Leo

    September 02, 2019
    Ndugu zangu Wakristo, tunatakiwa tuziishi Imani zetu, tusiwe watu wa Imani kali juu ya Kristo lakini, matendo ni zero, embu tuenende kati...Read More
    Wimbo wa Leo barikiwa

    Angel Bernard I still believe official lyrics song

    September 01, 2019
    Genesis 1:1-2(tafakari zaidi)  Read More
    Habari Viongozi

    Ziara ya Papa Francis Msumbiji yazua gumzo

    September 01, 2019
    MAPUTO, MSUMBIJI SERIKALI ya Msumbiji inatarajia kutumia karibu Dola za Marekani 325,000 (£266,000) sawa na shilingi za Tanzania takri...Read More
    injili

    Rose Atoa Ushuhuda na kumsifu Mchungaji Natasha

    August 31, 2019
    Baada ya msanii huyo wa nyimbo za injili Afrika Mashariki kupona, alitoa Ushuhuda wake kanisani pa mhubiri Natasha, na! Alisimulia, Kab...Read More
    Habari

    Msanii wa nyimbo za injili Kenya Afariki dunia

    August 31, 2019
    Leo ya tarehe 31/08/2019 Msanii wa nyimbo za injili Audrey Chibole, maarufu kama Audrianna, amefariki. Audrianna, ambaye alikuwa na mia...Read More
    Habari Viongozi

    Waumini Kenya wamkataa Pasta mgeni kuwa hafai na hatari kwa binti zao

    August 31, 2019
    Kisanga cha aina yake kimezuka katika kanisa moja la Gachororo, kaunti ya Kiambu nchini Kenya baada ya washirika kukosa kuhudhuria ibada ...Read More
    Habari injili

    Afungwa kisa kuhubiri neno la Mungu hadharani

    July 16, 2019
    Read More
    injili

    FREEMASON, UCHAWI VYATEKA MAKANISA YA TANZANIA

    July 15, 2019
    DAR ES SALAAM: SIKU za mwisho watatokea manabii wengi wa uongo! Ndivyo unavyoweza kusema kutokana na maandiko yaliyopo kwenye Biblia taka...Read More
    Wimbo wa Leo barikiwa

    King of kings Hillsong worship new song

    July 12, 2019
    Read More
    Habari

    Askofu shoo atangaza kifo cha Mchungaji Anarabi Swai

    July 12, 2019
    Askofu Mkuu wa KKKT Mhashamu Dr. Fredrick Shoo ambaye pia ni Askofu wa Dayosisi ya Kaskazini anasikitika kutangaza kifo cha ghafla cha Mk...Read More
    Habari

    Baba afukuzwa kwenye sherehe ya mtoto wake na Mchungaji kwa kosa la ulevi

    July 11, 2019
    Kioja kilishuhudiwa mtaa wa Kivaa, Masinga katika kanisa moja pale ambapo pasta alimfurusha mwenyekiti wa kanisa lake kwa kubugia pombe w...Read More
    Wimbo wa Leo barikiwa

    Ambassadors of Christ Twapaona Official lyrics

    July 10, 2019
    Read More
    Habari Viongozi

    Askofu amfungia mmama moja huko Mombasa kwa kosa la kuchelewa kanisani

    July 10, 2019
    Mama mmoja mjini Mombasa aliishtua mahakama baada ya kuelezea jinsi askofu mmoja amekuwa akimtesa huku akimfungia katika chumba cha kulal...Read More
    Habari

    Papa Francis atoa wito wa kuwakumbuka wakimbizi barani Ulaya

    July 09, 2019
    Kiongozi wa kanisa Katoliki duniani Papa Francis amekumbusha juu ya wakimbizi waliokufa wakati wakiwa njiani kuelekea barani Ulaya. Pap...Read More
    Habari

    Kanisa la EAGT lanusurika kubomolewa Arusha

    July 09, 2019
    Kanisa la EAGT Sayuni lililopo kata ya Sinoni ,jijini Arusha linalomilikiwa na Askofu Leonard Mwizarubi limenusurika kubomolewa kwa amri ...Read More
    Habari Viongozi

    Raisi wa Urusi afanya mazungumzo na Papa

    July 08, 2019
    Rais wa Urusi Vladmir Putin yuko jijini Rome kwa ziara inayojumuisha mazungumzo na kiongozi wa kanisa katoliki na serikali ya Italia ya s...Read More
    Habari Viongozi

    Papa Alaani Shambulio la wahamiaji Libya

    July 08, 2019
    Vatican. Kiongozi wa Kanisa Katoliki Duniani, Papa Francis amelaani shambulizi la anga lililosababisha vifo vya zaidi ya wahamiaji 50 nch...Read More
    injili

    Mkutano wa Nabii Natasha Tabata Jijini Dar

    July 08, 2019
    Bofya kwenye video kuangalia  Read More
    Habari Viongozi

    Mchungaji Natasha afichua siri ya historia yake ya mapenzi

    July 08, 2019
    Mchungaji Lucy Natasha ambaye amehamasisha na kuimarisha maisha ya watu wengi nchini Kenya na pia Kimataifa amebaini wazi sifa za mchumba...Read More
    Wimbo wa Leo barikiwa

    Paul Clement Atainyosha Njia Yako(official video)

    July 06, 2019
    Read More
    Wimbo wa Leo barikiwa

    Mercy Masika Muite Yesu

    July 06, 2019
    Read More
    Matangazo

    Be A millionaire today!ivest

    July 05, 2019
    How to become a member of Alliance in Motion Global Tanzania... Follow these Steps Below.. STEP 1: Choose what capital do...Read More
    injili

    Ifahamu sifongo iliyotiwa siki na kupewa Yesu pale msalabani

    July 05, 2019
    Luka 23:36 na Mark 15:36 mmoja wao alienda mbio akajaza sifongo katika chombo akatia katika mwanzi akamnywesha Alipoipokea akakata roho.....Read More
    injili

    Muhimu"Ushoga hauruhusiwi kwenye Biblia "usijaribu ndg!

    July 05, 2019
    Walawi:20:13 Usijaribu ndg, ni sawa na kumtukana Bwana Yesu au Bwana Mungu wako, kuwa macho, pia kuwa na hekima usomapo maneno haya! k...Read More
    Wimbo wa Leo barikiwa

    Mercy Masika Muite Yesu Official new song

    July 05, 2019
    BOFYA HAPA KUANGALIA WIMBO HUU Read More
    Habari

    Padre na sista wafariki dunia

    July 04, 2019
    Ajari Kilimanjaro leo yaua watu: Watu wawili wamefariki dunia kwa ajali wilayani Mwanga, Mkoani Kilimanjaro mara baada ya gari waliloku...Read More
    injili Viongozi

    Waumini 25 waokolewa kanisani, baada ya kufichwa ndani na Mchungaji

    July 04, 2019
    Jana tarehe 03 July 2019 huko kagera, Mkuu wa wilaya ya Karagwe bwana GODFREY MWALIKWA; Alifanya oparesheni ya kushitukiza katika kanisa...Read More
    Matangazo

    Alliance in motion global Ltd in Tanzania

    July 04, 2019
    Join us today Contacts us"+255759701713" Read More
    Mastaa

    Mwanamziki Size 8 apata mimba tena

    July 03, 2019
    Mwanamuziki wa nyimbo za Injili Size 8 huenda amebarikiwa tena miezi kadhaa baada ya kupoteza mimba yake ya pili Size 8 ambaye ni mke w...Read More
    Newer Posts Older Posts Home
    Subscribe to: Posts ( Atom )

    KWA SHEREHE NA SEMINA KARIBU UKUMBI WA LAKE TANGANYIKA, NZEGA-TABORA

    FOOTBALL STORIES

    Follow us

    • Like on Facebook
    • Follow on Twitter
    • Follow on Instagram
    • Subscribe on Youtube

    Popular Posts

    • kusuka na unyoaji katika Biblia
      kusuka na unyoaji katika Biblia
       KAMA MUNGU ALIVYOKWISHA KUWAONYA WANAWAKE ! NDIVYO ALIVYOKWISHA KUWAONYA WANAUME PIA. BWANA YESU asifiwe!😅 Maranatha!😅🙏🏻 N...
    • Je kutoa Mahari ni sawa ktk biblia?
      Je kutoa Mahari ni sawa ktk biblia?
      *https://youtu.be/-P4s8sVq31o* 🤔🤔🤔🤔🤔 *JE NI HALALI KWA MKRISTO KULIPA MAHARI ILI AOE?????* 🤔🤔🤔🤔🤔 . . . Hebu tutazame k...
    • HII NDIO MISINGI YA KANISA LA WASABATO DUNIANI
      HII NDIO MISINGI YA KANISA LA WASABATO DUNIANI
      KANISA LA #SDA LINA MISINGI 28 AMBAYO NI 1.Neno la Mungu 2.Utatu mtakatifu 3.Mungu baba 4.Mungu mwana 5.Roho mtakatifu 6.Uumbaji...

    Labels

    Habari MICHEZO Live injili Tamthilia Kesha la Asubuhi BREAKING NEWS magazeti Matangazo Covid19 Mastaa Viongozi today's quote Lesoni leo Wimbo wa Leo barikiwa Je Wajua? KULFI Bongo Movies Stories TETESI ZA USAJILI

    Facebook

    Created By SoraTemplates | Distributed By Gooyaabi Templates