Rose Atoa Ushuhuda na kumsifu Mchungaji Natasha

Baada ya msanii huyo wa nyimbo za injili Afrika Mashariki kupona, alitoa Ushuhuda wake kanisani pa mhubiri Natasha, na!
Alisimulia,
Kabla niende hospitalini, nilikuja kwenye madhabahu haya lakini mungu alinirudisha hapa. Ndio maana mungu ameniinua tena.


NILIKIRI MADHABAHU HII ITANIAMSHA TENA, MACHO YANGU YA ROHONI HAYAKUACHA KUMUONA MTUMISHI WA MUNGU DR. NATASHA, SIMBA WA KIKE…HATISHWI NA KELELE ZA MBWA MAANA YEYE NI SIMBA…ZAIDI YA SIMBA HAKUNA MNYAMA MWINGINE MWENYE UHODARI WA KUWINDA.
NABII WA MUNGU, NILIKUKUMBUKA NA NIKALIA. SIKUWACHA USIKU NA MCHANA, NILITAKA KUONA MIGUU YAKO. NILITAKA KUONA USO WAKO JUU YA SIKU YA MWISHO NILIKUJA HAPA.
HATA HIVYO, KAMA SINGEKUJA HAPA LABDA SINGEWAHI ONEKANA TENA. NYOTE MLIJIONEA KILICHOTENDEKA BAADAE.
Muhando alikuwa kwenye vyombo vya habari mapema mwaka huu alipo onekana akiombewa na mhubiri Ng’ang’a wa kanisa la Neno Evangelism Centre.

No comments