Askofu shoo atangaza kifo cha Mchungaji Anarabi Swai
Askofu Mkuu wa KKKT Mhashamu Dr. Fredrick Shoo ambaye pia ni Askofu wa Dayosisi ya Kaskazini anasikitika kutangaza kifo cha ghafla cha Mkuu wa Jimbo la Hai, Mchungaji Aminirabi Swai.
Mchungaji Aminirabi Swai amefariki asubuhi ya leo majira ya saa mbili na nusu.
Binafsi nikiwa kama mtu ambaye nilibahatika kukufahamu na kufanya kazi na wewe nakosa neno la kusema juu ya namna ulivyotwaliwa.Niseme tu kuwa Dayosisi ya Kaskazini, KKKT na Kanisa kwa ujumla limepoteza Kiongozi mwenye upendo na mnyenyekevu.
Raha ya milele umpe Ee Bwana na mwanga wa milele umuangazie apumzike kwa amani. Amina.

Post a Comment