Ujue utajiri wa Nabii Natasha
Nabii Natasha ndio billionaire kwa sasa, baada ya kuwa anatembea na mabodigadi na walizi wengineo
Amekuwa maarufu zaidi kupitia huduma zake anazofanya kwani anafanya kama semina katika nchi mbalimbali, anafundisha Biblia na anafundisha elimu ya maisha hivyo amekuwa akiwagusa wengi. Anapata mialiko mingi sana na ndiyo maana umeona amekuja pia nchini,” alisema.

Post a Comment