Ijue dini yenye ubatizo wa kuruka moto

Moto unawaka katika hekalu la Zoroaster kwa zaidi ya milenia moja
Miaka karibu 3,500 iliopita, Iran ilikua na dini yake iliyofahamika kama Zoroaster ambayo inasadikiwa kuwa dini ya jadi ya Uajemi.

Zoroaster ilikuwa imani rasmi ya Dola kuu ya Uajemi, na hekalu lake la moto lilihudhuriwa na mamilioni ya wafuasi.

Maelfu ya miaka baada ya ufalme wao kuanguka, wafuasi wa Zoroaster waliteswa hadi wakajiunga na dini mpya ya washindi wao, Uislamu.

Miaka 1,500 baada ya imani ya Zoroaster kupotea moto wake unaoaminiwa kuwa mtakatifu huhifadhiwa na wafuasi wachache.

Source :BBC

No comments