Waumini wa kipalestina wajeruhiwa na jeshi la Israel katika mskiti wa Issawiya Yerusalemu
Vita juu ya Yerusalemu kati ya Israeli na Palestina yapamba moto!
Waumini wa kipalestina wajeruhiwa na jeshi la Israel katika mskiti wa Issawiya mjini Yerusalemu Kaskazini eneo ambalo limekaliwa kimabavu na Israel.
Jeshi la Isreal lilitumia mabumu ya kusababisha kutokwa na machozi kuwatwanya waumini hao.
Tukio hilo limetokea usiku wa Alkhamis baada ya jeshi kuwavamia waumini waliokuwemo katika mskiti huo.Ripota wa shirika la Anadolu amesema kuwa jeshi la Israel liliwavamia waumini na kuwashambulia kwa risasi za plastiki na mabomu ya machozi bila ya kuajli watoto na wazee waliokuwemo.

Post a Comment