je ni sawa kuzika watu kanisani kama Wakatoliki wanavyofanya?
Amkeni Amkeni
Wkristo duniani kote,eti unazani itakuwa ni sawa kumzika mtu hekaluni au kanisani?
Usema ukweli sio sahihi, kwanini leo Mapapa wazikwe ndani ya kanisa,hata kama wao ni watakatifu kiaje ni machukizo mbele za Mungu,
Ukisoma Maandiko matakatifu Mfalme Yesu Kristo ambaye ndiye Mungu alizikwa naye katika mahali ambapo wengine walizikwa,hivyo haya mapokeo sio sahihi
,AMKENI AMKENI WAKRISTO
AMINA

Post a Comment