Mwanamziki Size 8 apata mimba tena
Mwanamuziki wa nyimbo za Injili Size 8 huenda amebarikiwa tena miezi kadhaa baada ya kupoteza mimba yake ya pili
Size 8 ambaye ni mke wa DJ Mo na ambaye kwa pamoja wamejaliwa mtoto msichana, alipitia wakati mgumu mwaka wa 2018 na hata kufichua jinsi ndoa yake ilivyoyumba baada ya kupoteza mimba hiyo.Sasa wapelelezi kwenye mitandao ya kijamii wanaamini kuwa mwanamuziki huyo ni mjamzito kulingana na picha ya hivi karibuni aliyoichapisha Instagram.Picha hiyo ilimuonyesha akiwa amevalia rinda la kupendeza lililomfanya aonekana mjamzito.
Kwa upesi wafuasi wake walianza kumtumia jumbe za pongeza na kumtakia kila la heri katika safari yake ya kulea mimba ya pili.

Post a Comment