Breaking: Mchungaji wa Wake 3 Ahukumiwa Jela na Wake Zake
Mchungaji wa Kanisa la The Early Church of Lord Yeshwah, David Chirhuza (33), akiingia katika mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam kabla ya kusomewa humumy ya kwenda jela mwaka mmoja ama kulimba faini ya shilingi milioni moja.baada ya kukiri kosa la kuingia nchini na kufanya kazi ya kichungaji bila ya kuwa na kubali cha makazi.
Hukumu hiyo imesomwa leo Septemba 10, 2019 na Hakimu Mkazi Mwandamizi Augustina Mmbando baada ya washtakiwa wenyewe kukiri makosa na kuongeza kuwa baada ya washtakiwa hao kulipa faini au kutumikia kifungo hicho watuhumiwa hao ambao ni raia wa Kongo wanatatakiwa kurudishwa nchini kwaoAkifafanua adhabu hiyo, Hakimu Mmbando amesema, katika shtaka la kwanza washtakiwa wote kwa pamoja wamehukumiwa kulipa faini ya Sh. milioni moja au kwenda jela mwaka mmoja kila mmoja na katika shtaka la pili linalomuhusu mchungaji peke yake amehukumiwa kulipa faini ya Sh. milioni moja au kwenda jela mwaka mmoja.Kwa maana hiyo, mchungaji peke yake anahukumiwa kulipa faini ya Sh, milioni mbili ama kutumikia kifungo cha miaka miwili gerezani.
Washtakiwa wengine ni wake wa Mchungaji ni Esther Sebuyange (27), Kendewa Ruth (26) na Mshtakiwa mwingine mdogo wa Mchungaji, Samuel Samy (22).Hata hivyo, kabla ya kusomewa adhabu yao washtakiwa wote waliomba mahakama iwasamehe, isiwape adhabu kali, Mchungaji amesema kazi alivyokuwa akiifanya ya kuhudumia jamii si biashara pia kusimamia sheria.

Post a Comment