CHANJO KUANZA KUTOLEWA AGOSTI 3 KATIKA MIKOA YOTE July 31, 2021 Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya Prof. Abel Makubi amesema Chanjo itaanza kutolewa 3 Agosti 2021 katika Mikoa yote, vituo 550, viit...Read More
AZAM FC WAMSAJIRI IDRIS MBOMBO KUTOKEA CONGO July 31, 2021 Klabu ya Azam FC imeingia mkataba wa miaka miwili na mshambuliaji wa kimataifa wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), Idris ...Read More
CHADEMA WAPANGA AGOSTI 5 IWE NI SIKU YA KUPINGA UONEVU July 31, 2021 Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA kupitia katibu mkuu, Mhe. John mnyika wametangaza siku ya Alhamisi, 05 August 2021, iw...Read More
UMMY AWATAKA WANANCHI KUJILINDA DHIDI YA UKIMWI July 31, 2021 Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Ummy Mwalimu amesema wakati serikali na Jamii ya kitanzan...Read More
MHE. PAULINE GEKUL ATOA RAI KWA TFF July 31, 2021 Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe.Pauline Gekul ametoa rai kwa Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini (TFF) k...Read More
MWIGIZAJI SHONA FERGUSON AFARIKI DUNIA July 30, 2021 Mwigizaji Maarufu kutoka nchi ya Afrika ya Kusini Shona Ferguson amefariki Dunia. Shona amewahi kuigiza filamu mbalimbali ikiwem...Read More
PROF. MAKUBI APIGA MARUFUKU GHARAMA ZA CHANJO July 30, 2021 Serikali kupitia Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto imetoa angalizo kwa wasimamizi wa chanjo kutolipish...Read More
BABU WA LOLIONDO AFARIKI DUNIA July 30, 2021 Habari zilizotufikia hivi punde kutoka kijiji cha Samunge Mkoani Arusha zinasema Mchungaji Ambilikile Mwasapile maarufu kama ...Read More
TFF YAJIRIDHISHA, YATOA ADHABU YANGA, SIMBA July 30, 2021 Kikao cha Kamati ya Mashindano ya TFF kilichokutana Julai 27, 2021 kilipitia taarifa za mchezo Fainali ya kombe la Shirikisho (A...Read More
TANZANIA U-23 MABINGWA CECAFA July 30, 2021 Timu ya soka ya Tanzania imetwaa ubingwa wa mashindano ya CECAFA U23 yaliyofanyika nchini Ethiopia kwa kuifunga timu ya Burundi ...Read More
#LIVE RAIS SAMIA AKIPOKEA NDEGE MPYA AINA YA BOMBADIER July 30, 2021 Tumewaletea matangazo ya moja kwa moja ambapo Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan anapokea Ndege Mpya aina ya...Read More
MSIGWA;HATUJALAZIMISHA MTU, CHANJO NI HIARI YAKO July 30, 2021 Msemaji Mkuu wa Serikali Mhe. Gerson Msigwa amesema Serikali haijatoa maelekezo ya kuwalazimisha watumishi wa umma kupokea chanj...Read More
DIAMOND PLATNUMZ; GARI YANGU HAIJAWAHI KWENDA GELEJI July 30, 2021 Star wa muziki barani Afrika Diamond Platnumz amewatolea uvivu wale wote wanaosema kuwa Gari yake Mpya Ya kifahari na thamani ai...Read More
KAGERE KUJIUNGA YA YANGA SC? July 30, 2021 Baada ya taarifa nyingi kuenea katika mitandao ya kijamii Medie Kagere kuomba kuondoka Simba, Meneja wa mchezaji huyo Patrick Ga...Read More
RAIS SAMIA AFANYA UTEUZI WA VIONGOZI WAWILI July 30, 2021 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, amefanya uteuzi wa viongozi wawili kama ifuatavyo- 1. Amemteu...Read More
NENO LA LEO July 29, 2021 SOMO LA ASUBUHI Usitembee Katika Njia Na Wenye Dhambi Julai 30 /2021 Burudani na Burudani Mwanangu, ikiwa wenye dhambi wanak...Read More
MUONGOZO WA KUJIFUNZA BIBLIA KWA WATU WAZIMA LEO 30 July 29, 2021 *LESONI LEO.* Ijumaa, 30/07/2021. Usomaji wa Biblia: Matendo ya Mitume 4. *JIFUNZE ZAIDI.* “Kazi yako inapokuwia ngumu, unapola...Read More
AMKA NA BWANA LEO 30 July 29, 2021 *KESHA LA ASUBUHI.* Ijumaa, 30/07/2021. *AHADI: NGUVU KWA AJILI YA SIKU.* *Tena kwa hayo ametukirimia ahadi kubwa mno, za thaman...Read More
UMMY ATOA MAELEKEZO 10 KWA MAMLAKA ZA SERIKALI ZA MITAA July 29, 2021 WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Mhe. Ummy Mwalimu ametoa maelekezo 10 kwa Halmas...Read More
AMOS MAKALLA AWATAKA WANANCHI KUPOKEA CHANJO YA CORONA July 29, 2021 Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Amos Makalla ametoa wito kwa Wananchi kuhakikisha wanapokea Chanjo ya Corona kwa mustakabali ...Read More
SIMU 18,622 ZAZIMWA, VITAMBULISHO 14,768 VYAZUILIWA July 29, 2021 Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Dkt. Faustine Ndugulile ameendesha kikao cha mapato na matumizi ya robo ya nne ya...Read More
GODWIN KUNAMBI KUFANIKISHA UJENZI WA DARAJA MTO MNGETA July 29, 2021 Mbunge wa Jimbo la Mlimba Mkoani Morogoro, Godwin Kunambi kufanikisha ujenzi wa daraja la Mto Mngeta ambao kwa muda mrefu umekua...Read More
MAADILI NDIO IWE MSINGI WA KAZI ZENU-DKT. MAGEMBE July 29, 2021 Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Tawala za Miko na Serikali za Mitaa anayeshughulikia Afya Dkt. Grace Magembe amewataka wafamasia...Read More
UMMY ATOA SIKU 7 KUCHUNGUZA VIFO VYA WANAFUNZI 3-MPWAPWA July 29, 2021 Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Ummy Mwalimu ametoa siku 7 kwa vyombo vya Ulinzi na Usala...Read More
YANGA SC WAACHANA NA NAHODHA LAMINE MORO July 28, 2021 Uongozi wa Klabu ya Yanga umetoa shukrani za dhati kwa Lamine Moro kwa utumishi wake ndani ya klabu ya Yanga katika kipindi cha ...Read More
AMKA NA BWANA LEO 29 July 28, 2021 *KESHA LA ASUBUHI.* Alhamisi, 29/07/2021. *AHADI YA MUNGU KWA WAZAZI.* *Wana wetu na wawe kama miche Waliokua ujanani. Binti zet...Read More