TANZANIA U-23 MABINGWA CECAFA
Timu ya soka ya Tanzania imetwaa ubingwa wa mashindano ya CECAFA U23 yaliyofanyika nchini Ethiopia kwa kuifunga timu ya Burundi kwa mikwaju ya penati 6-5 katika mchezo wa fainali.
Timu hizo zilitoshana nguvu na kwenda suluhu ya bila kufungana 0-0 ndani ya muda wa kawaida kabla ya hatma ya mchezo huo kuamuliwa kwa changamoto ya mikwaju ya penati.
Post a Comment