Tumewaletea matangazo ya moja kwa moja ambapo Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan anapokea Ndege Mpya aina ya Bombadier Dash 8 - Q400 katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere Terminal 1.
Endelea kufuatilia matangazo haya pia kupitia APP Ya BINAGO TV.
Post a Comment