MWIGIZAJI SHONA FERGUSON AFARIKI DUNIA
Shona amewahi kuigiza filamu mbalimbali ikiwemo filamu Maarufu iitwayo Kings Of Johannes Burg ya Afrika ya Kusini.
Kulingana na Familia yake wamesema Shona alikumbwa na tatizo la upumuuaji ghafla na amefariki kutokana na ugonjwa wa Corona (COVID-19).
Shona mwenye umri wa miaka 47 amefariki akiwa anapatiwa matibabu katika Hospitali ya Milpark Private, Johannesburg usiku huu.
Post a Comment