KAGERE KUJIUNGA YA YANGA SC?
Baada ya taarifa nyingi kuenea katika mitandao ya kijamii Medie Kagere kuomba kuondoka Simba, Meneja wa mchezaji huyo Patrick Gakumba azungumza.
Akiongea na Binago TV, wakati akifanya mazungumzo na Ntawiha Raphael Gakumba amesema.
“Hakuna jambo kama hilo Kagere hajaomba kuondoka lakini mkataba wake na Simba umeisha hivo bado tunaangalia ofa kama ikiwa nzuri tutasaini kama ikiwa sio nzuri tunaenda klabu nyingine wanayomuhitaji.
Kuhusu Kagere kutakiwa kujiunga na Yanga alisema
“Yanga ni timu nzuri,Kagere ni mchezaji mzuri lolote linaweza kutokea tusubiri.

Post a Comment