DIAMOND PLATNUMZ; GARI YANGU HAIJAWAHI KWENDA GELEJI
Star wa muziki barani Afrika Diamond Platnumz amewatolea uvivu wale wote wanaosema kuwa Gari yake Mpya Ya kifahari na thamani aina ya ROLLS ROYCE kuwa Imenunuliwa ikiwa na matatizo ndio maana imepelekwa kwa ajili ya Matengenezo kwa mafundi garage hapa Dar es Salaam
Kupitia ukurasa wake wa Instagram Amethitbitisha hilo kwa kuandika
"GARI YANGU TOKA IFIKE IMETOKA MARA MBILI TU, NILIPOENDA KWA BOAT NA NILIPOENDA AIRPOT KWENDA SOUTH"
Hii Imemfanya SIMBA Diamond Platnumz Kuandika Hivi Baada ya Video inayoonesha Gari lenye Mfanano sawa na la kwake likiingia Katika Kituo cha Matengenezo ya Magari hapa Bongo

Post a Comment