Mzee wa Upako afunguka"Diamond na Alikiba waache uzinzi" May 30, 2018 Leo May 30, 2018 Mchungaji wa Kanisa la Maombezi (GRC) Ubungo-Kibangu jijini Dar, Lusekelo Anthony ‘Mzee wa Upako’ ametoa ushauri kwa wasa...Read More
Kosa sio la Askofu Shoo,bali ni Katiba ya KKKT ndio imemfunga May 29, 2018 Katika siku za karibuni, tunashuhudia migogoro ikiibuka ndani ya sharika na dayosisi za Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), h...Read More
"Mtanzania kuwa maskini ni ujinga" Mch. Anthony Lusekelo 'Mzee wa Upako' May 29, 2018 Mchungaji wa Kanisa la Maombezi (GRC), Anthony Lusekelo maarufu kama ‘Mzee wa Upako’ bado anaamini kuwa Mtanzania kufa masikini ni ujinga ...Read More
Ghafla mastaa hawa wa Tz(bongo) walimgeukia Mungu,je ni kwanini May 28, 2018  SUALA la wasanii na watu maarufu kutangaza kuacha maovu na kumrudia muumba wao si geni. Kwa hapa Bongo wapo wengi ambao wamewah...Read More
utulivu KKKT wahitajika wakisubiri majibu ya Mungu May 28, 2018 ASKOFU wa Dayosisi ya Mashariki na Pwani, Dk Alex Malasusa amelitaka Kanisa hilo kutulia na kuona majibu ya Mungu, kwa kuwa nyu...Read More
Fahamu zaidi kuhusu Patakatifu Pa Patakatifu(Pa Mbinguni) May 27, 2018  PATAKATIFU PA MFANO (TYPE) NA PA ASILIA (ANTITYPE) JENGO LENYEWE Mungu akasema: "NAO NA WANIFANYIE PATAKATIFU; ILI NI...Read More
Hii ni kwa Wakristo wa kike(MAVAZI),usiache kuisoma hii May 27, 2018 MWENENDO WA MKRISTO WA KIKE Wakristo wa kike hawapaswi kujipamba kwa mambo ya nje, ambayo hayana faida yoyote katika wokovu wao. Kujipamb...Read More
Kijana alishitaki kanisa kwa kupewa masharti magumu ya kufanya ndoa May 25, 2018  Mwanaume mmoja ameshitaki kanisa moja nchini Uganda akipinga kanuni za utaratibu wa kufunga ndoa akieleza kuwa zinakwenda kinyu...Read More
Mfahamu zaidi Mwimbaji wa Nyimbo za Injili Solomon Mukubwa May 25, 2018 Solomon Mukubwa ni mwimbaji wa nyimbo za injili; hasa kwa lugha ya Kiswahili. BW Solomon Mukubwa ni mwimbaji wa nyimbo za injili; hasa k...Read More
Utafiti;-Wanawake ambao huenda Kanisani huishi zaidi May 24, 2018 Wakristo wengi huenda kanisani kulishwa chakula cha kiroho na kuimarisha imani yao. Ikiwa unaenda kanisani mara moja kwa wiki ikiwa wewe n...Read More
Sababu ya Waislam na Wasabato kutokutumia Nguruwe (madhara yake) May 24, 2018 Nguruwe ana-protein nyingi sana kuliko mnyama yeyote,Hiyo ndiyo inayomfanya kuwa host wa parasite wengi zaidi kwani nyama yake ina-create ...Read More
MGOGORO KKKT MAASKOFU WAMTUHUMU ASKOFU DK. SHOO May 24, 2018  UKIMYA wa Askofu Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dk. Fredrick Shoo umetajwa kuchochea kadhia ya migo...Read More
Diamond Platinumz akili kuwa nyimbo anazo ziimba Mungu hapendezwi nazo May 23, 2018  Msanii wa bongo Diamond Platinumz amepunguza kasi yake kwenye kazi zake za kimuziki tangu alipokamatwa kwa kupachika mitandaoni...Read More
"Uraia wa Askofu Kakobe"Wazee mashuhuri wa kijijini kwake wathibitisha uraia wake May 23, 2018  Askofu Kakobe Swala la uraia wake ,utafiti wafika hadi kijijini kwake kwa wazazi wake Baada ya kupiga kambi hapa wilayani K...Read More