Mzee wa Upako afunguka"Diamond na Alikiba waache uzinzi"

Leo May 30, 2018 Mchungaji wa Kanisa la Maombezi (GRC) Ubungo-Kibangu jijini Dar, Lusekelo Anthony ‘Mzee wa Upako’ ametoa ushauri kwa wasanii Diamond na Ali kiba na kuwataka kupima makosa ya Wasanii wengine waliowahi  kuwa wa kubwa Afrika na wakadondoka ili ,wao waweze kusimama kwa muda mrefu zaidi.

Zaidi Mchungaji huyu ameonekana kuwa ni mfuatiliaji mzuri sana wa wasanii wa kibongo fleva,amekuwa akiwasifia waimbaji wengine wa tasinia hiyo ya Bongo fleva kuwa bora wao kuliko Diamond na Alikiba!

Lakini kilicho washangaza watu wengi,sana sana Wakristu ni jambo la yeye kufuatilia nyimbo hadi nyimbo zao!🙁😱,lakini ndio hvyo sasa!

kawashauri kina Diamond na Alikiba kujifunza kutoka kwa wasanii waliopita kwa makosa na njia sahii walizopitia!

Yote hayo aliongea katika AyoTv;!

chanzo;Millard Ayo

No comments