USIOE MSCHANA WA NAMNA HII
BY MWALIMU HABELNOAH
JM LIBRARY
MWANZA
USIOE, Narudia tena, mpendwa USIOE!!
-2021: Ukiona msichana ana ujasiri wa kuvaa nguo fupi na kuingia barabarani bila aibu akitembea USIOE.❌
- 2021: Ukiona msichana ana ujasiri wa kuvaa nguo ya kubana sana halafu anatembea bila aibu mtaani USIOE❌
- 2021: Ukiona msichana anakunywa pombe na kulewa akiwa bar USIOE❌
- 2021: Ukiona msichana anaujasiri wa kusimama na wanaume hovyo barabarni bila kuona aibu USIOE❌
- 2021: Ukiona msichana anaujasiri wa kukujibu vibaya hadharani USIOE❌
- 2021: Ukiona msichana anatoa hela anasuguliwa miguu USIOE❌
- 2021: Ukiona msichana unamtumia vocha halafu anakubipu USIOE.❌
Naomba kama kuna tabia nyinge mbaya unaijua comments hapo chini, ili tuingie mwaka 2022 na wasichana waelevu sio mapoyoyo wasio jielewa.
Ukiona msichana haheshimu wazazi wake kwa kujibizana nao vibaya hadharani bila aibu usioe.
NA WEWE MSICHANA LUKSA KUSEMA HUTAKI MWANAUME WA TABIA GANI MWAKA UJAO WA 2022.
Tupia comment yako kuonesha mawazo yako hapa chini kwenye comment box👇🏾
Haha,na sisi hatuolewei na vijana wanaovaa kata kei, mtepe��
ReplyDelete