• HOME
  • BREAKING NEWS
  • TAMTHILIA
  • MICHEZO
  • MATANGAZO
  • CONTACT US

BINAGO BLOG

  • Home
  • Habari Viongozi

    Hatari! Waumini 27 wafariki kwa kunyweshwa jik kanisani

    April 29, 2019
    Zambia:Hatarisaana! 27 wafariki kwa kunyweshwa jik kanisani JUMATATU , 29TH APR , 2019 Watu takriban 27 wamefariki dunia baada ya mch...Read More
    Viongozi

    "Sitakufa" mchungaji Lusekelo alisema

    April 26, 2019
    Mchungaji wa kanisa la Maombezi GRC la jijini Dar es salaam, Anthony Lusekelo maarufu kama Mzee wa Upako, amefunguka juu ya taarifa za kuz...Read More
    Mastaa

    Rose Muhando Aweka wazi mahusiano yake na Kijana mkenya

    April 26, 2019
    @rose_muhando & @Stephen_kasolo Muimbaji wa muziki wa Injili nchini, Rose Muhando ameeleza uhusiano wake na kijana kutoka Kenya aitw...Read More
    Viongozi

    Askofu apotezea mazishi ya mama yake aliyekuwa na mzozo nae

    April 24, 2019
    Askofu John Mweresa wa Kanisa la African Israel Nineveh alikosa kuhudhuria mazishi ya mamaye, Sarafina Lung’atso, 79, kutokana na mzozo...Read More
    Habari

    Baba ambaka mwanaye katika mkesha wa pasaka

    April 24, 2019
    Geita:-kuna watu wana roho ngumu, Mkazi wa Kijiji cha Nyantorotolo Kata ya Nyankumbu Halmashauri ya Mji wa Geita, Patrick Andre (41) anas...Read More
    injili

    Kijana aliyefufuliwa na Mchungaji Lukau Afariki tena

    April 24, 2019
    Zimbabwe :- Kijana Brighton Moyo, raia wa Zimbabwe aliyekuwa akiishi Afrika Kusini ambaye alijipatia umaarufu baada ya kuonekana katika ...Read More
    Habari

    "Mashambulizi ya makanisa Sri Lanka"Kundi la Kiislamu kuhusika

    April 23, 2019
      Pasaka imekuwa chungu huko Sri Lanka:- Sri lanka iko kwenye siku ya maombolezo kwa ajili ya watu 290 waliopoteza maisha. Mazishi ...Read More
    Habari

    Msabato akataa kuzika udongo wa familia yake iliyokufa kwenye ajari ya ndege

    April 22, 2019
    Raia wa Kenya aliyewapoteza ndugu watano katika ajali ya ndege ya Shirika la Ndege la Ethiopia amekataa kuzika udongo uliokusanywa kutok...Read More
    Habari

    Kanisa laanguka na kuua watu 13 huko Afrika ya Kusini

    April 22, 2019
    Takriban watu 13 wamepoteza maisha na wengine wengi kujeruhiwa baada ya ukuta kuanguka Afrika Kusini wakati wa kuanza ibada ya pasaka kati...Read More
    Habari Viongozi

    "watumishi wa serikali kuendekeza vitendo vya rushwa"Askofu wa Anglikana alisema

    April 22, 2019
    Dodoma: ASKOFU wa kanisa la Anglikana Dayosisi ya Kati, Dk.Dikson Chilongani amesema kuwa licha ya kuwa serikali inapambana na rushwa lak...Read More
    injili

    Askofu Kakobe Aionya Njombe

    April 22, 2019
    Dar es Salaam . Askofu mkuu wa kanisa la Full Gospel Bible fellowship (FGBF) Zakary Kakobe amewaonya watu wote wanajihusisha na matukio ya...Read More
    injili

    Hivi karibuni:-The real shape of the earth

    April 20, 2019
    Eri Mungu kafanya uumbaji, lakini kuna mawazo mawili tofauti, Kuwa dunia ina umbo la tufe, yani kama mpira,pia kuwa dunia ina umbo la dua...Read More
    Habari

    Mwanamume akamatwa na Petrol na kiberiti kanisani

    April 18, 2019
    Mwanaume mmoja amekamatwa baada ya kuingia kwenye kanisa la Mtakatifu Patrick jijini New York akiwa amebeba makopo mawili ya Petroli, ...Read More
    Viongozi

    Nabii huko Ghana ahubiri akiwa amevaa chupi ya kike

    April 18, 2019
    Nabii mmoja kutoka nchi ya Ghana amewaacha wengi vinywa wazi baada ya kuvalia nguo za wanawake wakati akiwahubiria waumini wake. Mchunga...Read More
    Habari

    Kumbe Sheikh ndiye aliyejenga hospitali ya MUHIMBILI :Historia fupi

    April 17, 2019
    Anaitwa Sewa Haji Paroo Alifika Zanzibar Akitokea Katika Miji Ya Bhuj Na KutchNa Mnamo Mwaka 1852 Alifungua Duka La Bidhaa Mbalimbali Huko...Read More
    Habari

    Kwa mara nyingine Marekani imedhihirisha uadui wao zidi ya uislamu

    April 17, 2019
    Bado kuna tatizo kati ya Marekani na nchi za Uislamu: Msemaji wa Kamati ya Uongozi ya Baraza la Wanazuoni Wataalamu Wanaomchagua Kiongoz...Read More
    Habari

    "Mimi ni mwakilishi wa Mungu Duniani" alisema Mfalme Zumaridi

    April 16, 2019
    Mwanza: Huyo ni Mfalme Zumaridi anaye patikana huko Mwanza, amegeuka kuwa Mungu hapa duniani kutokana na maneno yake ya kujinadi na maten...Read More
    Mastaa

    Habari Njema:Rose Muhando Yuko Fiti, Aagwa Hospitali Kenya

    April 15, 2019
    MWIMBAJI maarufu wa nyimbo za injili nchini, Rose Muhando, hatimaye ameagwa katika hospitali aliyokuwa amelazwa nchini Kenya baada ya kuu...Read More
    Viongozi

    "Messi sio Mungu" Papa Francis alidai

    April 15, 2019
    Mmoja kati ya watu ambao hawajiweki sana na ushabiki wa moja kwa moja ni wa kiongozi wa jamii, haijajulikana kwa nini lakini hawawezi...Read More
    injili

    Nakala kamili ya insha ya Benedict XVI: 'Kanisa na kashfa ya unyanyasaji wa kijinsia'

    April 15, 2019
    Papa Benedict XVI Agosti 28, 2010. Mikopo: L'Osservatore Romano Mji wa Vatican, Aprili 10, 2019 / 04:23 pm (CNA) .- Hili zifuatazo n...Read More
    injili

    Wafungwa wanamfuata Yesu kupitia ubatizo

    April 15, 2019
    Wafungwa kumi na saba kutoka jela la hatari huko Port Vila, Vanuatu walibatizwa siku ya Sabato, Machi 23 katika Kanisa la Kiadventista la ...Read More
    Habari

    Mlo wa mimea unahusishwa na kupungua kwa fetma, BMI kati ya wanadventista wa Puerto Rico Aprili 14, 2019

    April 15, 2019
    Mlo wa msingi wa mimea unahusishwa na index ya chini ya molekuli ya mwili (BMI) kati ya wanachama wa Puerto Rico wa Kanisa la Kiadventist...Read More
    injili Viongozi

    UPDATED: Ted Wilson anaomba sala kama wapiganaji wa dhoruba Msumbiji

    April 14, 2019
    Ted N.C. Wilson, rais wa Kanisa la Dunia la Waadventista wa Seventh-day, aliwahimiza wanachama wa kanisa ulimwenguni pote kuomba kama kimb...Read More
    injili Viongozi

    Ujumbe kwa Kanisa la Waadventista wa siku ya saba kutoka kwa Rais

    April 14, 2019
    Salamu kwa wanachama wetu zaidi ya milioni 21 ulimwenguni kote ambao huunda familia ya kanisa la Waasabato wa siku saba katika nchi zaidi ...Read More
    Habari

    Maisha ya Imamu uko Uganda yapo matatani!

    April 14, 2019
    Imam katika Uganda Mashariki Anakabiliwa na Hasira ya Waislamu baada ya Kuwa na Imani katika Kristo Aprili 9, 2019 Kwa Mwandishi wetu wa ...Read More
    Newer Posts Older Posts Home
    Subscribe to: Posts ( Atom )

    KWA SHEREHE NA SEMINA KARIBU UKUMBI WA LAKE TANGANYIKA, NZEGA-TABORA

    FOOTBALL STORIES

    Follow us

    • Like on Facebook
    • Follow on Twitter
    • Follow on Instagram
    • Subscribe on Youtube

    Popular Posts

    • kusuka na unyoaji katika Biblia
      kusuka na unyoaji katika Biblia
       KAMA MUNGU ALIVYOKWISHA KUWAONYA WANAWAKE ! NDIVYO ALIVYOKWISHA KUWAONYA WANAUME PIA. BWANA YESU asifiwe!😅 Maranatha!😅🙏🏻 N...
    • Je kutoa Mahari ni sawa ktk biblia?
      Je kutoa Mahari ni sawa ktk biblia?
      *https://youtu.be/-P4s8sVq31o* 🤔🤔🤔🤔🤔 *JE NI HALALI KWA MKRISTO KULIPA MAHARI ILI AOE?????* 🤔🤔🤔🤔🤔 . . . Hebu tutazame k...
    • HII NDIO MISINGI YA KANISA LA WASABATO DUNIANI
      HII NDIO MISINGI YA KANISA LA WASABATO DUNIANI
      KANISA LA #SDA LINA MISINGI 28 AMBAYO NI 1.Neno la Mungu 2.Utatu mtakatifu 3.Mungu baba 4.Mungu mwana 5.Roho mtakatifu 6.Uumbaji...

    Labels

    Habari MICHEZO Live injili Tamthilia Kesha la Asubuhi BREAKING NEWS magazeti Matangazo Covid19 Mastaa Viongozi today's quote Lesoni leo Wimbo wa Leo barikiwa Je Wajua? KULFI Bongo Movies Stories TETESI ZA USAJILI

    Facebook

    Created By SoraTemplates | Distributed By Gooyaabi Templates