Hatari! Waumini 27 wafariki kwa kunyweshwa jik kanisani

Zambia:Hatarisaana!

27 wafariki kwa kunyweshwa jik kanisani
JUMATATU , 29TH APR , 2019

Watu takriban 27 wamefariki dunia baada ya mchungaji wa kanisa la kilokole la 'AK Spiritual Christian Church' lililopo Limpopo nchini Zambia, kuwanywesha dawa ya kuondoa madoa 'jik' wakiwa kanisani.

Taarifa kutoka Zambia zilizochapishwa na jarida la Zambia Observer, zinasema kwamba mchungaji Phala aliwaambia waumini wake kuwa jik hiyo inaondoa mapepo, hivyo akaanza kuwanywesha kwa nia ya kuwaombea mapepo yao yaondoke.
Licha ya vifo hivyo, pia waumini wengine 18 hali zao si nzuri, na bado wapo hospitali wakipatiwa matibabu.
Polisi wa Limpopo wameanza uchunguzi juu ya tukio hilo, huku wakioneshwa kushangazwa kwao, ambapo miongoni mwa waliofariki, wapo wauguzi wa afya na walimu.
Source: Zambia Observer

No comments