"Mimi ni mwakilishi wa Mungu Duniani" alisema Mfalme Zumaridi
Mwanza:
Huyo ni Mfalme Zumaridi anaye patikana huko Mwanza, amegeuka kuwa Mungu hapa duniani kutokana na maneno yake ya kujinadi na matendo yake, ona hapa chini kwenye picha
Inaelezwa kwamba Nabii Zumaridi ameamua kuchukua mamlaka ya Mungu chini ya jua, kwamba anajiita Mungu, hali iliyopelekea kufikia hatua kwa Waumini wake pamoja na wafuasi wake kumwabudu na kumtukuza na kumsujudia.
Kama waweza, toa maoni yako hapa chini, kwenye comment box

Post a Comment